Wanaume watatu wakazi wa kijiji cha Katete nchini Zambia wamezua
mshangao kwa watu baada ya kupelekwa kwenye Kituo cha wagonjwa wa
Kipindupindu wakiwa wamezidiwa kwa kuumwa wakihofiwa kuwa na
Kipindupindu.
Baada ya kufanyiwa vipimo, majibu yalionesha kuwa tofauti na ilivyofikiriwa, wanaume hawa walikuwa wamekunywa dawa ya kuongeza nguvu za kiume katika tendo la ndoa ijulikanayo kama Mvubwe.
Ripoti ya madaktari wa hospitali hiyo ya kipindupindi walieleza kuwa vipimo vinaonesha kuwa mchanganyiko wa pombe, vyakula na dawa hiyo, ulisababisha mchafuko tumboni hivyo ikahusishwa na Kipindupindu lakini baada ya kuwauliza maswali walikiri kuwa walikunywa dawa ya kuongeza nguvu katika tendo la ndoa.

0 comments:
Post a Comment