Rais Trump ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twittter kuwa makubaliano na Korea Kaskazini yapo kwenye mchakato wa kutekelezeka ,
siku moja baada ya kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un. ingawa mpaka sasa Korea Kaskazini haijatoa tamko lolote.
Aidha Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence amesema uamuzi wa Korea Kaskazini kutaka kukutana na rais wa Marekani Donald Trump unathibitisha kuwa mpango wa kuitenga Korea Kaskazini unafanya kazi.
Hata hivyo makuliano ya mkutano huo wa kihistoria uliwashangaza waangalizi. Lakini badae ikulu ya white house ya Marekani imesema mkutano huo hauwezi kufanyika mpaka Korea Kaskazini ichukue hatua thabiti kabla ya mkutano wowote.
Mwezi mmoja tu uliopita ,rais Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un walikuwa wana malumbano makali. Lakini sasa rais Trump amekubali kuhudhuria mkutano huo alioalikwa licha ya kuwa mwaliko huo uliletwa na Korea kusini.

0 comments:
Post a Comment