Kaimu mwenyekiti wa bunge hilo Mhe Adbulla Mwinyi ametoa wito kwa serikali za nchi wanachama katika jumuia ya afrika mashariki kushughulikia masuala ya msingi kama hela ya pamoja, hati za kusafiria,
Iwapo mambo haya yatashughulikiwa kunamanufaa makubwa ambayo yatapatika hasa kupanua kwa soko la afrika mashariki

0 comments:
Post a Comment